hakuna siku nimetembea umbali mrefu kwa miguu kama October 29 aise nilitembea mpaka nikahisi nimekua muisrael ..๐๐๐๐๐๐ผ๐ฎ
RIP Wanangu Tuliotoka Ila hamkufanikiwa Kurudi.๐๐ผ๐๐ผ
Sio lazima kukutana na viongozi wa CHADEMA, ndio usajiliwe kuwa mwanachama....ingia playstore pakua app ya chadema digital jisajili kuwa mwanachama...๐
Ishi kidigital na mwanademokrasia.โ๏ธ
Popote ukatakapo pita ukakuta Office ya @ChademaTZ2 imefungulia nunua katoni mbili za maji wape na 5000 ya nauli nenda zako watu wanafanya kazi ya kitume
Watanzania ICHANGIENI CHADEMA ifanye kazi zake.
Mimi nimekuwa ktk siasa za upinzani tangu 1990.
Nawashuhudia Chadema ndio chama pekee kinachojali masilahi yetu.
Kama mtadharau ushuhuda huu mtalia na kusaga meno.
mimi pia nawasihi watanzania, wanaoweza, waichangie chadema. tunafaidika moja kwa moja tukiwa na upinzani imara, unaoweza kuishika mapembe ccm na serikali yake, hususan kwenye sera na matendo yake ya kionevu na kikandamizaji dhidi yetu w'nchi. tujihimu:
Mwaka mzima wa mateso, maumivu na uchungu.
Mwaka mmoja wa kulala sakafuni.
Mwaka mmoja wa kulala chumba kisicho na hewa ya kutosha.
Mwaka mzima wa kula chakula usichojua kina sumu au la.
Mwaka wa bila haki Mahakamani.
Mwaka wa ushindi na mwanzo mpya.
Mungu ni mwema๐๐ฝ
Leo mwenyekiti Lissu anafikisha mwaka toka alipokamatwa kwa kesi ya kubumba, cha kushangaza kila akiibana jamhuri mahakamani wanatafuta sababu ya kuchelewesha maendeleo ya kesi ili aendelee kusota magereza, pamoja na yote Mungu yu nasi na tutashinda.