@MariaSTsehai Tujaribu kuwaza upande wa pili, je kama ccm hutumia watu wao kama chambo kwa wapinzani? Kuna walioondok ccm wakaja upinzan kugombea na bado wakarud ccm. Huyo Nchimbi haonekani ni fungu lao tusipoteze muda
@TuliaAckson Shikamoo mama, naitwa Prosper mwanachuo Mzumbe. Naomba support yako nifanikishe ubunifu wangu. Awali nkiwa sekondari nlifanya ubunifu nkashinda tuzo. Baada ya hapo sapoti ilikua ndogo. Kwa sasa na ubunifu ambao utakua na manufaa sana sekta ya elimu. Namba yangu 0756726893