@KAZIN98818935 @bachelor_junior @kigogo2014 Hahahaha hata www na ww umo,,,,lini uliona viazi vkaivaa malaa baada tu ya Moto kuwashwaa,,,,,subirii ukoleee uonee matokeo acha ku tweet ukiwa na stress za life.kunywa energy pumzika .acha ya jayo yafurahishe watu.
@RealHauleGluck Kumbuka nlisema juu ya kutokua na urafiki na nchi jilan ,na mtauleta huo umojaa,vp hapo tenaaa ,wacha ccm tufanye kazi mtaelewaa mbeleni,maaana mtoto hajui kesho take Bali huhitaji suruali tu nakutojali chamsingi
@RealHauleGluck @IdrisSultan Exactly ,don't be confused,,,,wingi wawatu kukoment na kadhalika ,,,,hapa kazi tuu maendeleo haya letwii na jilani Wala rafiki ,niwe binafsii, ipendee nchi ikupeee maisha.ukibsha shauri yako
@RealHauleGluck @TunduALissu Tundu lissu ndo nani ,,katika uchumi wa mtu mmojamoja hasaa anae jua kutafutaa na namna yakiweka akiba,,,,,,acheni kuwa pumbazaa watu,,,,