Watumishi wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) wamekutana katika kikao kazi kilichofanyika Morogoro tarehe 27 Juni 2026, kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali na kuweka mikakati ya utekelezaji kwa mwaka wa fedha 2026/2027.