Hivi kile chama cha yule mheshimiwa mlima kahawa kule Kigoma, walisema watalinda Kura, watalinda kura za wakina nani labda au walikuwa wanamaanisha kitu kingine? Maana kila mgombea wao anaenguliwa na Tume kabla hata ya zoezi lenyewe!? 🤔🤔🤔
Simba SC, you got robbed today. But you have brought great honor to our country. You have my full support at all times. In solidarity with you either way. 👏