โโKuna wakati katika maisha hakuna atakayekuelewa, hakuna atakayekuunga mkono, na hakuna atakayekuamini hapo ndipo mtihani halisi wa uthubutu huanza
โโ Kusimama mwenyewe ni ishara ya ukuaji , mahali ambapo unajifunza kuwa nguzo ya ndoto zako bila kutegemea mabega ya wengine
Kila mtu ana ndoto, lakini si kila mtu ana stamina ya kubeba hiyo ndoto.
Vision nzuri inahitaji upweke, kukataliwa, kushindwa, na kurudi tena sokoni ukiwa na maumivu.
Kama bado unakatishwa tamaa na kauli za watu, basi hiyo siyo vision๐ซต
Shoutout kwa kila mwana anaejipanga upya maisha yake.. bila msaada, urithi, kubebwa, wala connection.
Ni juhudi, maumivu na nidhamu. Nakuheshimu sana kaka. Nakukubali ๐๐พ.
Kama una pumzi, bado kuna matumaini na nafasi ya mabadiliko
Wengi wanajihisi wamechelewa kwasababu wanalinganisha maisha yao na mafanikio ya wengine
Ww ni wa kipekee, umeumbwa tofauti, hkn mtu mwingine anayefanana na ww
Ishi ukijua unaandika hadithi ambayo haijawahi kusimuliwa
Guys, women should be the least of your worries, block your emotions and work on yourself. Go make the money, take care of yourself, go to the gym, and stop trying to please them. They can be gone in 1 second not caring about all you did for them. Be wise."
Tafuta Sana Hela, Vaa Vizuri, Kunywa Maji Mengi, Fanya Sana Ibada Na Uache Kujipa Umuhimu Kwenye Maisha Ya Watu...
Mungu Abariki Kazi za Mikono Yetu na Leo,
Good Morning ๐.