Nimepokea taarifa ya kukamatwa kwa SAILENCE MWAKASALA Mwenyekiti wa CHADEMA Student Organization mkoa wa Mwanza mchana huu, Polisi 5 mmoja tu ndiye aliyevalia sare wakiwa na mitutu ya bunduki wamevamia nyumbani kwake na kumchukua kwa nguvu. Tunaendelea kufuatilia kila hatua.
REPOST 200
#FreeMwakasala
Kazi yangu itakuwa ni kuretweet kila tweet inayohusu Arsenal,wafanya biashara wauza vifuniko vya asali please mtupishe kidogo tunakazi na hii app kwa mda๐