Repost hapo chini halafu weka namba yako na jina linalotoka hiyo 200k inarudi tena mtaani
mitaa ishibe hela๐
Hakikisha umenifollow na urepost
WhatsApp 0676971122
CHALLENGE ACCEPTED
๐Nina 50k kwa watu watano watakaotabiri Corect score ya hii Mechi | Simba SC vs Al Masry |
๐ Kila Mmoja wao atapata 10k kesho kama matokeo yakiwa sawa na utabiri waliotoa wao
๐Mwisho wakueka Comment yako ni saa 9 mchana โ๏ธ
Note : hakikisha ume Retweet hii post nakuniffolow ndo ueke utabiri wako ๐ค
JISHINDIE SH 500,000 KUTOKA BONUSBET
SIMBA ๐น๐ฟ vs AL MASRY ๐ฉ๐ฟ
1. Follow akaunti ya @bonusbettz kisha Like, Retweet na Comment mfungaji wa bao la kwanza na matokeo ya Half time na Full time
2.Comment ya kwanza yenye matokeo sahihi ndio itakayo kuwa mshindi.
SHINDA 10,000/= BUREE!
Follow @farastanzania kisha tabiri matokeo sahihi ya mechi kati MANCHESTER UNITED na MANCHESTER CITYitayochezwa Tar 06 April 2025, Tag marafiki watano (5) kwenye comment yako na ujishindie 10,000 farasmiles kutoka faras.
Comment tatu (3) za kwanza zenye matokeo sahihi ya magoli ndio zitakazoshinda na kuzawadiwa baada ya mechi. Hakikisha umetag marafiki angalau watano (5) kwenye comment yako.
Hauruhusiwi ku-comment matokeo zaidi ya mara moja.๐
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
#ShindaNaFaras
SHINDA 10,000/= BUREE!
Follow @farastanzania kisha tabiri matokeo sahihi ya mechi kati ya ARSENAL na CHELSEA itayochezwa Tar 16 march 2025, Tag marafiki watano (5) kwenye comment yako na ujishindie 10,000 farasmiles kutoka faras.
Comment tatu (3) za kwanza zenye matokeo sahihi ya magoli ndio zitakazoshinda na kuzawadiwa baada ya mechi. Hakikisha umetag marafiki angalau watano (5) kwenye comment yako.
Hauruhusiwi ku-comment matokeo zaidi ya mara moja.๐
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
#ShindaNaFaras
Inaitwa Kariakoo Derby, Yanga SC kukutana na Simba SC mchezo utakaochezwa Jumamosi hii,
Je, Nani ataibuka mshindi?
Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Yanga SC 2 Vs. Simba SC 2)
3. Re-Tweet post hii
๐ฏWashindi;
Wawili wa kwanza waliotabiri Kwa usahihi na kufuata vigezo na masharti
๐Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Powerbank
Mshindi wa Pili - Infinix Powerbank
๐NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#InfinixMobile #PredictAndWin