Liverpool wamepoteza mara mbili, 2019&2022 kwa Madrid
Manchester United wamewahi kupoteza mara mbili pia 2009&2011
Juventus ndio inaongoza kwa kupoteza fainali nyingi zaidi
Tuendelee kufurahia Taji la Epl, mafanikio makubwa yanahitaji mipango mikubwa na kujitoa zaidi, tutayafikia.
Hata hivyo ukiafatilia kwa ukaribu wapinzani wetu wengi wanaofurahi kombe lao ni assists msimu huu
Jana ilikuwa ni Arsenal dhidi ya dunia nzima. Lakini yote kwa yote huu ni msimu mzuri sana kwa Arsenal, ubingwa wa EPL na fainali ya UCL. Kitu ambacho wenye chuki hawatakiamini ni kwamba tutarudi tena fainali ya UCL very soon na kubeba kombe la Club bingwa Ulaya. Mark this Tweet.