@ZamaMpya_ @JMakamba Mmeshatuona waTZ mazuzu ata mkiwambia kitu twende kazi umeme unatutosha wakat kilasiku unakatika jamani ata hamumuogop mungu kama mkiona kura yangu mniite mbwaaa nipo nimekaa pale2025
@Mzungu_pori1 Yani wanaume yunaendekeza maswala yakijinga umemfungulia biashara bado unampa pesa ya matumizi uku majukumu ya kulipa ada matibabu niyako ndugu zangu kwani tumeoa watu wasio jiweza kimwili na kiakili tufike mahali tupige vita maswala haya na bado wanadai haki sawa