The biggest mistake I see people making today is wanting INSTANT success, QUICK money, and RAPID fame. Itโs not realistic, and it will never keep you happy.
You can't focus when you're impatient! Remember, the saying: โWhat comes easy won't last, what lasts won't come easy!โ
@iam_FredY_@joharimshana@Aduiwayanga Point si kulipa au kutokulipa. Hoja ni exchange rate. Deni liko USD, Shilingi ikishuka, thamani ya deni kwa TZS inapanda automatically.
@EduTalkTz Biblia haifundishi kuua watoto.
Ibrahim hakumuua Isaka, Mungu alimzuia (Mwanzo 22:12).
Yesu hakulazimishwa, alijitoa mwenyewe (Yohana 10:18).
Mtoto wa Daudi ilikuwa hukumu maalum, si sheria (2 Samweli 12:14).
Na amri iko wazi: โUsiueโ (Kutoka 20:13).
................
@rayasel94 Philippians 2:6โ7
Point:
Yesu akiwa duniani alijinyenyekeza (human limitation),
lakini asili yake haijabadilika.
Kuchukua aya moja na kupuuza nyingine = incomplete reading.
@VungaEl74 Hakukuwa na misikiti kipindi cha Yesu.
Yesu alikuwa Myahudi na aliabudu kwenye Temple na Synagogue, si msikiti wala kanisa la leo.
Misikiti zilianza karne ya 7 baada ya Muhammad (SAW), takriban miaka 600 baada ya Ukristo.
@francismtey Unachanganya lugha ya mfano na uhalisia.
โKiti cha enziโ โ kiti cha mbao โ ni mamlaka.
Mungu akiwa Roho hawekwi kwenye sheria za mwili.
Hoja yako ni strawman: unachukua metaphor, unaifanya literal, halafu unaipinga.
Delta Force was my favorite Chuck Norris movie as a kid, and the epic theme song is arguably the best of any 80s action movie.
God Speed, Chuck Norris.
American Hero.
@Psiteshio1 Unawekeza 80M halafu unapata kama 4.8M kwa mwaka?! Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha na kuweka pesa benki au kwenye bondi, zinaweza kutoa zaidi ya hapo.
Kabla ya kujenga, hakikisha kodi inaweza kutoa angalau 10% ya mtaji kwa mwaka au eneo lina uhakika wa kupanda thamani.
Your opportunity to study in the UK with a fully-funded 2026/27 #Chevening Scholarship is almost gone.
Submit before 7 October 2025, 3:00 PM (EAT).
#MyFriendsACheveningScholar
@Roma_Mkatoliki@AzamSportstv Hawa jamaa ni wezi, haiwezekani tulipie 28K wazichuke na Azam Max haifanyi kazi
Poor customer service yaaani simu hawapokei, na wakipokea unapewa majibu mepesi. dah