@KenTheRemedy Mcloudsania tokea Buza Kwalulenge nasikiliza xxl mapema sanaaa nimetune in @KenTheRemedy Mwambie SCRATCH aguse Kiujamaa ya NikiWa2 goes to my Lovely country Tz, Naiaminia255πΉπΏ
@KenTheRemedy Tokea yombo buza Baghdad Street nimetune 88.5 since morning till tomorrow mwambie fantastic aguse Macho VS Moyo by @drimopapi@KenTheRemedy
@KenTheRemedy#AskMopao Ni kweli Kwamba diamond na Yeye Wana chemistry nzuri maana Wakitoa dude ni massive na ni mwanzo mzuri wa Kustream na je kuna Album mpya ???
@KenTheRemedy#ASKJAYMELODY kuna muda alikuwa na tofauti na BlackX je yupo nae sawa na CONGRATULATIONS kwake coz Tilalila it's my favourite song @KenTheRemedy
@KenTheRemedy#AskChinoKidd Shout out kwa Anachokifanya kwa Upcoming na Anazidi kuwatoa madogo katika dancing Je ni Wana match sana na Mfanakah na deaster ZA au? Coz most of da hits he's doing with them??