Kiwango kimoja cha kumtegemea Mwenyezi Mungu ni kumuomba Yeye pekee kwa kila hitaji letu. Kiwango cha juu zaidi ni kumwachia kila jambo, ukiwa na yakini kwamba kwa hekima Yake isiyo na mipaka, Atakupa kilicho bora zaidi, kwa wakati na namna Anayoiona kuwa sahihi. ๐คฒ
@CloudsMediaLive Tril.1.77 kukidhi elimu hii hii ambayo tunanyanyasika nayo vijana au?? Mtu unasoma lakini mwisho wa siku vyeti hutumii unabaki kuwa bodaboda???