@CarolNdosi Smart
From every person you meet, see or listen there is someting to learn and from every situation, moment or environment there is something to learn.
Its just being open minded and ready to listen and see.
Kwenye eneo la Horticulture Kenya imepiga hatua zaidi yetu kwa sababu kubwa mbili.
A. Kihistoria. Baada ya mgagasuko wa sekta ya mafuta 1973 ulioathiri sekta ya maua hasa kwa wakulima wa shamba vitalu huko Marekani; mbinu mpya ilikuwa kuzalisha kwa njia ya asili nje ya Marekani. Maeneo yaliyochaguliwa ni Kenya (Africa) na Ecuador (South America)
B. Sababu za kiuwekezaji kifedha na teknolojia. Kwenye eneo hili wako mbele zaidi. Lkn na sisi tunaimarika kwa mikakati kadhaa. #KilimoNiAjira
@MalemboLE Ni kweli kabisa uongezejai wa thamani wa bidhaa za kilimo ni njia nzuri ya kujipatia fedha na kukuza uchumi wetu.
Small Food processing industries ni ushiriki mzuri katika mnyororo wa thamani wa kilimo.
Kama kahawa iliokaangwa, karanga na bidhaa. Korosho, unga lishe na vingine
Sio wote sharti tulime, bali wengine wanaweza kuweka nguvu katika matumizi ya akili kuja na njia mbadala za uongezaji wa thamani kwenye mnyororo mzima wa kilimo.
Kijana Success will never lower its standards to accommodate you. You have to raise your standards to achieve it.
God provides food for every bird but not in its nest. Rise up to the challenges ahead of you and conquer your fears .
Amka kumekucha.
@wekesa_amos This is a good view of how impactful marketing is, I have gained good insights from this tweet.
"We are broke as a country but we have something to work with so we can raise money to improve on the infrastructure but marketing is critical for that to happen"
@wekesa_amos This is a good view of how impactful marketing is, I have gained good insights from this tweet.
"We are broke as a country but we have something to work with so we can raise money to improve on the infrastructure but marketing is critical for that to happen"