Nadhani badala ya kusimama kwenye majukwaa ya siasa na matamko ya kila aina nyie viongozi wa dini, mngekuwa mmetangaza hali ya dharura ya mifungo na maombi kama ya Esta na Modekai. Kwa Agano la kale mgekua mmevaa magunia na majivu juu ya vichwa mkimlilia Mungu. Hivi mngelinda
@EliabuDanford Ofcoz ni kweli.
Kuna haja wa tz kujitafakari, na kuona namna ya kuhakisha na sisi tunakimbia mbali/kukua kiuchumi zaidi ya hapa kwa kuakisi rasilimali zilizopo
@EliabuDanford Je Yamkini mwaka huu kukawa na NURU kwa maana, yaliyokua gizani taratibu yameangazwa na NURU,
Je yamkini yale yanayoonekanika hayawezekani kwa akili za kibinadamu yakatimia kuwa kweli (kuwezekana)?
Ney Ubuyuwakishua
Ubuyu mtamu wa Kishua wenye ladha nzuri upo
Ukila unakuacha na tabasamu muda wote
Hauchubui Mdomo Ukimung'unya
Ladha ni Vanilla, Chocolate na Pilipili
Bei ni 4000 tu
Delivery Kwa Dar na Mikoani tunatuma
Nipigie 0752228138