Linapaswa kuandaliwa darasa maalumu la kuijengea jamii uelewa kuhusiana na hii tozo iliyopewa jina la kiswahili “Pesa ya kumuona Daktari” (Consultation fee).
Jamii imekuwa ikielewa kuwa hili ni pato la Daktari kila akimuona mgonjwa ila hili ni pato la Hospitali/ kituo husika.
@DrArabiFrank kutojua vitu vidogo namna hii, kama jambo la pesa ya kumuona daktari ambayo haiingii mfukoni mwa daktari wanawaka hivi, hawa ndiyo tuwategemee wakatetee masilahi ya watumishi wa afya bungeni😂😂😂
@DrArabiFrank hili jambo limekua likijorudia mara kwa mara kuongela pesa ya kumuona daktari, inabidi kamati ya bunge ya afya ifanye train fulani kwa wabunge wajue namna vituo vinavyofanya kazi na hiyo pesa inaenda kwa nani. Maana ni jambo la ajabu sana mbunge anayewakilisha jamii kutojua.. 1/2
Machief wanne au watano ambao ni ajira mpya. Baada ya mwaka mmoja mkijoin force mkakopa 10M per head, mnaweza kufungua kituo cha private kizuri ambacho kinapiga kazi bila uhaba bcoz mnaweza kurotate kukihudumia. ( wilaya Nyingi bado zina private dispensary za ujanja ujanja tu).
Lakini kwa nature yetu wabongo ya kila mtu kufanya mambo yake, hiyo pesa kila mtu ataimalizia kwenye kilimo cha kutegemea mvua.
@ReganTesla_ mkuu mara nyingi haya matatizo yanahusisha sana afya ya akili, unaweza kuona kaanguka ghafla ila ndani kuna chanzo cha hilo tatizo, washauri wazazi wafike hospitali kitengo cha magonjwa akili ikiwezekana ata Mirembe ata pata msaada wa kitaalam
Join our Digital Health Career Fair 2025 !!
Don't miss the opportunity to explore specific career paths such as :
AI in Healthcare
Bioinformatics/ Genomics
Product Development
Health Data Analytics and many more
Register here
https://t.co/e8x0RZnG8Y
25th Jan 2025
10am WAT
🚨 Exciting Opportunity Young Entrepreneurs! 🚨
@OneYoungAfrica is offering $2,000 in seed funding to help young entrepreneurs from East, West, and Southern Africa start or expand their businesses.
Don't miss this chance—apply now via ==> https://t.co/ZSqmoEHgO6
The future depends on the strengths of empowered youth. As 2025 unfolds let youth spare energy for fellow youth. It is Whole Health Junction where Health meets harmony.
To healthy and energy🤗
🎉 R scholarship applications open on January 20!
If your team (government or nonprofit) works in applied epidemiology in a low- or middle-income country, you could get access to our Intro to R course and Support Desk! Details: https://t.co/ZimrOwWABy
#Rstats#epitwitter
🥳🎉Happy New Year #AfricanEntrepreneurs!
EXCITING NEWS!
We are now accepting applications to the 2025 TEF Entrepreneurship Programme.
Apply now for $5,000 seed capital, business training, access to networks, and mentorship on https://t.co/kok5glf8Ri
Exciting Opportunity for Young African Leaders!
Are you passionate about digital tech for human capital development? Join DTA Cohort 1 for YALI RLC EA!
Applications Open: 6th January 2025
Stay tuned for details!
#DTA#YALIimpact#DigitalSkills#AfricanInnovation#Leadership