Kama Unapitia Magumu,
Amini Mungu Yupo Na Atayafanya Mepesi🤲
Mungu Akabariki Hussle Zako,
Na Akulinde Dhidi Ya Maadui!!🙏
Jumapili Njema Watu Wa Mungu✝️
#Haleluya Is Out Now
LINK ON MY BIO
🗣️ Victor Osimhen: “I am inspired by Sadio Mane. But I have a different goal compared to his. He is building infrastructure for the community of Senegal. That is awesome. 🇳🇬
But for me, I want to help disabled challenged people across Africa. I will always do my best to help where I can help. I am in the process of opening headquarters in Africa which will help to achieve this goal.
If you don't have a leg, we will create a new one for you. If it's an arm, we will create a new one for you. We want them to feel equal to everyone. We work for Africa.”
Mambo 5 Ya Kufanya Unapokutana na Changamoto:
1. Tulia, usiwe na haraka.
2. Tambua chanzo cha tatizo.
3. Weka mpango wa kulitatua.
4. Shirikisha watu unaowaamini.
5. Weka matumaini kwa Mungu.
#ElimikaWikiendi
*Hakuna Mtu Anayepost Mapambano Yake Yote.*
✅Ndiyo Maana Unaona Kama Wewe Peke Yako Ndiye Unapitia Ugumu.
Lakini Nyuma Ya Tabasamu la watu,
Kuna Hofu, Mashaka, Na Ndoto Ambazo Bado Hazijatimia.
Bado kuna kitu hatujaelewana kuhusu tawala zilizopita na tawala za sasa!!
Regime ya 1995-2015 agenda kubwa hasa za wapinzani zilikuwa Rushwa & Ufisadi!!
Tulipofika mwaka 2015 Gari likapiga U-turn
Agenda mpya ikawa introduced hapa!!
Yes kwa kiasi kikubwa Banza aliweza kupunguza ufisadi & rushwa 👏
So agenda za zamani zikawa ziko sorted asilimia fulani!!
Alichokosea Banza ni ali-introduce agenda nyingine mpya ambayo huko mwanzo haikwepo, na kama ilikwepo haikuwa kwa kiwango kikubwa kama cha kipindi chake!!
Ndipo ukaanza #Utekaji #Uuaji Maiti zikaanza kuokotwa baharini
#FreedomOfSpeech ukikosoa unashughulikiwa!!
#MediaHouse zikaanza kunyimwa uhuru wa kukosoa!!
#Wapinzani wakaanza kupewa kesi na kufungwa, wengine wakipigwa risasi mchana kweupe!!
Wapinzani wakaondolewa Bungeni kisiasa, na mpango ulikuwa kuua upinzani!!
Nchi ikawa bubu ba iliyojaa hofu kubwa!!
Ilikuwa ni regime ya UDIKTETA!!
Hivyo anko aliweza kuzuia ufisadi & rushwa lakini alileta life style nyingine mpya kabisa na mbaya coz iligusa uhai wa mtu!!
So stop saying kwanini Magu mlimkataa, Yes tulimkataa coz ali-introduce kitu kibaya nchini, ingawa aliweza kuzuia rushwa na ufisadi!
Alicho ki-introduce Banza kwenye utawala wake, hawa waliomfatia wameendeleza tena wameenda xtra miles!!
MBAYA ZAIDI HAWA WA SASA WAMERUDISHA NA ZILE AGENDA ZA ZAMANI RUSHWA & UFISADI!!
Yani hawa wa sasa wanakula #Rushwa wanafanya #Ufisadi Then Wanaminya Uhuru wa watu kukosoa, #Wanateka #Wanaua #Wanabaka #WanaBan Media house!! Wanafunga wapinzani…….
Ndio tuko hapo sasa…..