๐๐๐๐ ๐๐๐๐ - Simba Sc ๐น๐ฟ imekamilisha usajili wa kiungo Mshambuliaji Ibraheem Jabaar (23) ๐ณ๐ฌ kama mchezaji huru baada ya kuachana na Stellenbosch ๐ฟ๐ฆ
Jabaar ameichagua Simba baada ya ushawishi mkubwa wa Kocha Mkuu Steve Barker.
โ It's all Done & Sealed ๐ ๐ฆ
๐จFeitoto kajutia alichofanya baada ya kumpiga Libase Gueye ngumi:
โSikuwa fair kabisa naomba msamaha Kwa mashabiki wote wa mpira nilikuwa emotional.โ
๐ฅMechi 30 bila kupoteza kwenye mashindano ya ndani yanayotambulika na CAF pamoja na TFF
โขNBCPL 25 games
โขCRDB 5 games
Mechi 5 kwenye mashindano ya visiwani Zanzibar
โข1 loss
๐ CRDB FEDERATION CUP
๐ MUUNGANO CUP
Best coach of the season 2025/26 for a million reasons
Cape Verde wametoka ila wameiteka mioyo yetu. Nchi ndogo ya watu 600,000 tu, imeshiriki World Cup mara ya kwanza ila imemaliza group stage bila kufungwa na imedraw na Argentina mabingwa watetezi ndani ya dakika 90. Argentina ya Messi imewatoa kwa tabu.Respect na Asante Cape Verde
๐ด ๐๐๐๐๐๐๐๐:
Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam has been removed from CAF-approved venues due to ongoing major renovations ahead of AFCON 2027.
Azam Stadium in Chamazi is only temporarily approved for preliminary rounds of 2026/27 CAF Champions League and Confederation Cup.
#CAFCLwithMicky
#Tanzania
#AfricanFootball
๐จ Simba Sc itafanya ๐๐๐๐๐๐ la Ubingwa wa Kombe la CRDB kesho Jumapili Julai 5, 2026 kuanzia saa nne asubuhi.
๐๐๐๐๐๐ litaanzia Airport - Buguruni - Kigogo - Jangwani - Msimbazi na litamalizikia COCO BEACH.
World Cup 2026 inayoanza leo itafanyika kwa muda mrefu zaidi katika historia yaani siku 39, mechi nyingi zaidi katika historia 104, zamani zilikuwa 64, timu nyingi katika historia 48, zamani zilikuwa 32. Pia kwa mara ya kwanza itafanyika nchi 3 tofauti na kwenye miji 16 tofauti.
#TajiriLaKihaya
Hii ya DECLAN RICE hamuioni wakuuโฆ
Mnapost tu ya MADUEKE๐
MADUEKE atakua Star saana hii World Cupโฆ atafunga na kutoa Assist za hatarii! https://t.co/aj5aifMhBd
๐บ๐ธ Tucker Carlson: Like it or not, Iran are uniquely standing up for Palestinians and the people of Lebanon.
"The rest of the world is watching this in horror and no one else is doing anything about it."