Hata Sis Hatupend Umaskin na Mawakala Wake ,Tuna ndoto kubwa Tunakaza Ila Ndo Hivyo Bado Waamin wa Huenda Kesho .....Tuna Iman kubwa Japo Nyumba Za ibada Hazijaona Uwepo wetu Muda mrefu Ila Tunaamin kwa Yule Anayetoa ASANTE MUNGU NDO NENO LETU LA KILA SIKU HATA KM TUTAKOSA
Unahitaji simu ya aina Gani?.
1. Battery kubwa 6000mAh
2. RAM kubwa 8GB kwa 16GB
3. ROM kubwa 128GB kwa 256GB
4. Camera nzuri 50MP
128GB unaipata kwa 300,000/=
256GB unapata kwa 350,000/=
Tupo Kariakoo mtaa wa Likoma na Masasi
0747625726
Naomba unisaidie kufikisha hii Taarifa kwa WAZAZI/WALEZI wa wahitimu watarajiwa wa Darasa la7.
Siku 15 za Dhahabu zitamuwezesha mwanao kujifunza Coding Mkuu, Huoni kama ni Fursa hii??
Pata utaratibu kupitia 0745000555
DAR
ARUSHA
DODOMA
#Grade7CodingAdventure
We made it Young Man, all the best Mdogo wangu! Amepiga Degree yake ya HRM pale NIT ila sasa hivi kajiajiri, ni mobile anakuja popote hapa Dar Es Salaam.
Hello Dears♥️ Una akili nzuri elimu nzuri lakini kila ukijaribu kuvitumia unaona vitu haviendi anza mchakato wa kutumia nguvu zako kujikwamua kwasababu sio kila wakati akili na elimu vinaweza kukupa matokeo chanya kama unavyo tarajia ila nguvu na jasho lako vinaweza KAZA💪😎
"The only way to achieve greatness in life is to have patience, consistency, and discipline."
🏠home service
📍kimara
💵 10k
📞 0625453355
#cleancutsalways
Leo kitu ni kimoja tu Viwanja vya Leaders
#NyamaChomaFestival kula nyama laini na unyamaze 🚶🏻♀️🔥
Pata Tiketi yako kupitia Lipa Namba Mixx By Yas – 15647533
📲 Lipa Namba NMB – 21576953