Hii lecturer strike si tuliambiwa merry christmas jameni na ndo hivo nimejipata Kakamega alafu olafasaden eti strike imeisha. Sasa fare inatoka wapi jameni??
Ugly African boy ndio kuachiliwa na foreman after amenipea last warning juu ya kukalia simiti,nafika kejani napata landlord ameweka kufuli kubwa kwa mlango nashindwa mbona anategemea kijana mdogo, naweka mshipi moja refu kama njwanga yangu na kuweka Imani mbele.
Na hii mambo ya kulipia bibi fee kwani ni ngapi huwa haziend in tears,cousin yangu ndio nimetoka kumwona pale kwa muted juu alikua anatuua na quotes miaka mbili sai mpaka juzi amepata mtu mwengine ndio zimepungua 😹
Huyu wa sahii lazima ajue nakula nini daily enyewe love is blind mimi ni nani nimeishi kumwambia ndo naenda kutafta kitu ya kukula lakini most of the days huwa nainama🥹🥲
Mimi hushangaa Sana nikiona mtu Aki downplay effects za depression ama mental health problems,that shit hukua weird,it kills you slowly,you lose your motivation completely
Mshwari nilirefresh, sikuongezewa limit from 0. Fuliza nikaopt out na kuopt in, limit ikarudi 0. Sai mnataka nilipe hustler fund na nirefresh limit. Kama mumetumwa kunimalisa mnasema.