Nimeangalia ile miaka 30 ya bongo fleva kila aliyetaka kumsifia aidha serikali, kiranja au manyota alikumbana na upinzani mkali sana kutoka kwa hadhira ni wazi Taifa linahitaji kuponywa haraka watu wana chuki wanatafuta tu pakuitolea na siku wakikipata itakua shida kubwa sana