My Confidant amejiingiza hii mambo ya uwanja,summoned me twende Eldoret. Alikuwa list ya watu wamelipwa pending bills akaniambia hayuko safe in Nairobi. Amenionesha an hidden gem iko nyuma ya Club 7D inaitwa “Ile Place” na sioni tukifika nyumbani. Sherehe imeanza already🔥🔥🔥