@ignyharaz2 machakos mama mboga ndo wanasurvive nazo....was working with one early this yr...10k unarudisha na 25% na kuna processing ya 10%....na 1 time registration ya 500....then 200 ya pasport....so in total utalipa 14200 ..na unalipa na 1 month....niliona naweza pata laana nkaquite..