@dif_madara@TeyaKevin Wewe tunakuachia mumgu ju hakuna kitu ya maana umesema hapo. . .. wewe umeona mambo experience imefanya hii season.....
Yes kuna mabao ka mbili bila yeye tu gechaowa lakini zenye ameuza nazo ni kibao
@AFCLeopards@betikaKe Mngeshinda game yenyu moja hii title race ingeenda hadi siku ya mwisho........
Ata mnafaa mueke hii game freee ju ya stress mmetupatia
@AFCLeopards Kwanza mjue vile mtafanyia maplayer walicheza hio game ya bb bread 🤣🤣🤣🤣.
Mkishamaliza mtuambie if you are allergic to cups ju hii ni nini sasa 🤣🤣🤣 ata arsenali imebeba kitu.