@98christian_@datius_tz Ndugu wapiii??? Hivi nyie mnazani hapo ni Tanzania πππ huko wenzio kwanza unahis ronad mpka alipo huyu mtoto hana acc yake πππ na elimu inakupeleka wapi
@datius_tz πππππππππhuyo hata afe unazani nini kitamdhuru huyo mtotoππππau unafikiri ni tz hapo kuna mijomba na mishangazi yakoππmali za rolnado zinajulikn na akishinw simamiw na mama yake atasimamiw na serikali vipi bwana
Kitu gani umeamua tu kikupite lakini ni fashion kwa maisha ya sasa na kwa baadhi ya watu wengiππΎ
Meπkufanya mapenzi kinyume na maumbileπ€¦π½ββοΈinipite tu