@FanuelIddy Nilikulaga viazi vimekaangwa na mafuta ya mawese daaah nikabwa hadi chozi likawa linatoka jamaa wa pemben ananiongelesha nashindwa kumjibu afu kiazi kinashuka pole pole koo linauma kinyama toka siku hiyo sijawahi kula viazi tena
Tunahitaji SAINI 20,000 kabla ya saa 6 usiku. Mpaka sasa tumepata 16,420. Naomba usaini na Share kwa wengine chap chap. Usilale kabla hujasaini hii ni Muhimu kwaajili ya ndugu zetu waliouliwa KIKATILI NA SAMIA.
REPOST 500
https://t.co/hMj55Mczjm
Hakuna aliye imara kwa nguvu zake mwenyewe.
Wote tunavunjika, tunachoka, tunapoteza matumaini, lakini hapo ndipo nguvu ya Mungu huonekana kwa utukufu.
Udhaifu wako si aibu, ni nafasi ya Mungu kuonyesha uwezo Wake ndani yako 🙏🏼