@MariaSTsehai Ukitasama misafara ya viongozi, ukitazama magari yao kwe shughuli za kila siku ni V8... njoo kwenye usafiri wa mwananchi anayelipa kodi ili wao wanunue v8.
@Mwabuk2Boniface Kaka Mwambikusi kuna sehemu huyu baba au mtaalamu wa washeria ametufungua kesi binafsi.. hili embu mlitafakari kama wataalamu wa sheria.
NB; tusisahau tuhuma 9 za kaka PolePole kwa watu/makundi/taasisi mbalimbali ni zakufanyia kazi.
@HecheJohn Hv kwa miaka mitano 2021-2025, mbona hakuna taarifa za utekelezaji wa report ya CAG,.. deni limeongezeka, je wanaobinishwa na CAG kuwa wamefanya ubadhirifu wamechukuliwa hatua gani?