Sio kweli kuwa Rais wa Kenya anateua majaji. Uteuzi wa majaji ni mchakato wenye hatua 8 unaoanza nafasi ya jaji kuwa wazi. Nafasi ikiwa wazi ni lazima ITANGAZWE ndani ya siku 14.
Anachofanya rais ni formal appointment. The President MUST appoint based on JSC recommendations
mara yako ya mwisho kuripoti jambo @tanpol na kupata msaada uliokuwa unautaka ilikuwa lini? tushirikishane uzoefu, mzuri au mbaya, tukiendelea kupigania tanzania tuitakayo.
🎥: @kiratyofficial, @NijuzeNews:
mimi nakubaliana, na kuungana kabisa, na watu wote wanaotaka katiba mpya. tuwe na katiba inayowapa kweli wananchi nguvu na mamlaka ya kuamua hatma ya maisha yao na yale ya nchi yao, itakayoipunguzia nguvu serikali kuingilia maisha ya kila siku ya watu.
🎥: @adaboe_12:
jitihada zozote za 'kusafisha' jiji, zisizozingatia sababu za kimifumo na kimuundo za kwa nini w'nchi wapo kwenye hayo maeneo, ikiwemo umasikini mkubwa, ukosefu wa fursa, na kukosekana kwa uwajibikaji, ni vita dhidi ya masikini, na hazitafanikiwa, na zitakuwa na 'blowback' kubwa!
Lissu ahitimisha hoja zake za mwisho za utetezi
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, leo Jumatatu, Septemba 28, 2026, amehitimisha rasmi uwasilishaji wa hoja zake za mwisho (Final Submission) katika utetezi wa kesi ya uhaini inayomkabili.
Hii leo baada ya upande wa utetezi kukamilisha kuwasilisha hoja hizo, majaji wameahirisha shauri hilo hadi kesho, Jumanne, Septemba 29, 2026.
Kesho, upande wa Jamhuri unatarajiwa kuanza kuwasilisha hoja zake za mwisho katika shauri hilo.
Hatua hiyo ni sehemu ya mchakato wa mwisho wa kusikiliza hoja za pande zote kabla ya mahakama kuendelea na hatua inayofuata ya shauri.
Huyu mwamba anamaswali mazito hata msikilizaji ukijiuliza lazima uone kama raia kuna sehemu umezembea
Nilisha wahi kusema huyu ndio mwandishi bora sasa @ThatBoyKhalifax