@HildaNewton21@godbless_lema Yanatimia, kila unalotenda kwa mwenzio litakurudia vivyo hivyo. Na ikimpendeza Muumba hukuwa.., baya kwa mabaya zuri kwa mazuri zaidi.
@Eric_Bernard94 Principles of educational psychology imeweka wazi kuwa " every person can learn something, if not, it's a teacher's fault" Mwl anatakiwa kujua model ya kutumia kumfundisha mtu/mtoto baada ya kutambua IQ yake. Repeating models should be applied Individualy.
@stephen_masele "Wahuni" wametokea sababu ya udikteta wa kuamua mambo bila demokrasia. Kungelikuwa na uhuru wa kuongea na kusikilizwa kwa demokrasia ya kweli, uhuni usingekuwepo. Na ndio sababu wa Tz, wanadai katiba mpya ya haki na demokrasia ya kweli.