Mimi nafikiri umri wa kustaafu unapaswa kuwahusu wanasiasa pia. Maana duu, kuna wakati ni muhimu kujua lini muda wako umeisha na kutoa nafasi kwa wengine.
Ndoa si kwa ajili ya watu wanaopendana tu, bali ni kwa ajili ya watu wanaojua kusamehe, kuwasiliana, kujitoa, kuvumiliana, kuhudumiana, kujenga pamoja na kulindana. Mapenzi huwaleta pamoja, lakini tabia na matendo ndiyo yanayodumisha ndoa.