Ee Mungu, kama maombi yangu bado hayajafika wakati wake wa kujibiwa, basi naomba usiyasahau ya wale walioko nyuma yangu. Wabariki, wafungulie milango, wapunguzie machungu yao, na uwape sababu ya kutabasamu leo. Amina. 🙏
Mwanamke anapokupenda kweli, anaweka maisha yako kwenye mawazo yake hata ukiwa haupo. Anaomba mambo yako yaende sawa, hata yale ambayo humwambii.
She doesn’t pray for you because it sounds romantic. Anafanya hivyo kwa sababu anajihusisha na future yako.
Ukubwa wa Mungu haupungui kwa sababu ya changamoto zako. Badala yake, changamoto zako hupungua unapomtazama Mungu alivyo mkubwa, mwaminifu, na mwenye uwezo wote. 🙏🏼
Dunia ya Sasa,
Ukipata mwanamke ambaye anakupikia chakula kitamu na unashiba, kichupa chako kikijaa anakipunguza, na hana tamaa za kijinga jinga..
Mlinde kwa nguvu zako zote.