Yeyote aliefanikiwa kwenye biashara alikuwa na hivi vitu 3..
1. Uwezo wa kuuza
2. Uwezo wa kukuza mtaji
3. Uwezo wa kumanage employees wake.
Huo huwa unatumika kama msingi wa chini kabisa kwa mfanya biashara yoyote.
Namba 1 ya kuzingatia.
BRO TO BRO
Usikate tamaa haijalishi unapitia kipindi kigumu kiasi gani Usiogope kuanza upya kila unapoanguka. Jipe Moyo kwamba na kujiambia maneno haya "hapa ndipo nguvu yangu inapojengwa nitasimama tena"
Weka focus yako mbele, Badilisha mindset yako, Toka kwenye Comfort zone yako. Amini mchakato hata kama unaenda polepole.
Weka tumaini lako kwa MUNGU Hakika utainuka 💪
Katika dini zetu tumefundishwa kuwa Mungu hutujaribu kupitia mali, afya, familia na watoto. Hivyo tuwe na imani thabiti kwa Mwenyezi Mungu, tuvumilie na tusimame imara katika kila hali. 🤲