Bro to Bro
Acha kupambana ili kumridhisha mwanamke
Acha kuishi maisha ya gharama ili kuwafurahisha watu waone ka ushajipata
Punguza idadi ya mademu ka vipi baki na mmoja tu anatosha
Acha kuomba umuhimu mbele za watu wasio ona umuhimu wako
Acha kutumika ili uwaumize wengine.
Hakuna mwanaume aliyewahi kufa kwa sababu alichelewa kuoa, lakini wanaume hufa kwa kuoa mwanamke asiyefaa.
Mwanangu usiwe na haraka. Chagua kwa busara.