FAHAMU LIST YA WATU (10) DUNIANI WANAOFANANA NA MAREHEMU.
[List of (10) people who have same faces as some people who died ]
Uzi (Thread) 🧵
1. Steven Kanumba & Shifta
YouTuber Jesse Ridgway na mke wake Ashley Ridgway wameamua kutoa ujauzito baada ya vipimo kuonyesha mtoto wao alikuwa na hatari kubwa ya kuzaliwa na Down Syndrome
Down syndrome ni ugonjwa unaoathiri ukuaji wa akili na mwili wa mtoto
Wanangu mkeka wa weekend jisajili na weka pesa Mapema kabisa kampuni ni GOLDPARI repost uwafikie vijana.🙏🏾
Code, GAXTD
Odds 18+
Stake 300k
✅️Kampuni ni GOLDPARI
BONUS 300%
🚨Zima VPN unapojisajili
REG LINK
https://t.co/krCfCStxwv
APK LINK
https://t.co/3gGszQybeU
✅️Promocode👉🏾 ANNA
Join Whatsap 👇🏿
https://t.co/QAk9aMOHn4
Udhamini wa wanafunzi wa Tanzania kusomea Urusi umeongezwa kutoka nafasi 90 hadi 150 kwa mwaka. Ongezeko hili la nafasi 60 za ziada linawakilisha fursa mpya kwa vijana wa Tanzania kupata elimu ya hali ya juu katika fani za sayansi, teknolojia, uhandisi na dawa nchini Urusi kwa gharama nafuu. #SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbele
RUDN University inajulikana kimataifa kama Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi. Kilianzishwa kwa lengo la kusomesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea duniani kote. Kwa Tanzania kutambuliwa na chuo hiki kikuu ni ishara ya nguvu ya uhusiano wetu wa kielimu na Urusi uliojengwa kwa miongo mingi. #SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbele
Economic diplomacy should always translate into opportunities for ordinary citizens. That is why today's forum matters for Tanzania
#SamiaInRussia#SamiaKaziniUrusi
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema Huwezi kuelewa thamani ya baraka uliyonayo hadi pale itakapopotea mikononi mwako.
Shukrani ni mtazamo unaobadilisha mambo ya kawaida kuwa ya thamani kubwa. Thamini ulicho nacho, watu wanaokuzunguka, nyakati unazopitia, fursa hata pumzi unayovuta.
Shati plain za kiume ni muhimu kuwa nazo. Ni rahisi ku-match na rangi nyingi, huokoa muda na gharama, na zinafaa kwa shughuli au safari za ghafla. Chagua quality nzuri ili zidumu kwa muda mrefu.
Size S to 3XL
Bei 20000
Delivery ipo mikoani na Dar unalipia
Whattsapp 0622754484
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema Huwezi kuelewa thamani ya baraka uliyonayo hadi pale itakapopotea mikononi mwako.
Shukrani ni mtazamo unaobadilisha mambo ya kawaida kuwa ya thamani kubwa. Thamini ulicho nacho, watu wanaokuzunguka, nyakati unazopitia, fursa hata pumzi unayovuta.
Geita Gold weekend hii wanacheza Songea United akishinda tu anapanda ligi Kuu, uku Kagera Sugar nae akishinda mechi zake zilizobaki nae atapanda.
Polisi Tanzania na Mbeya Kwanza kuna hatihati kucheza play off ili mshindi atakuja kucheza na Prisons au Mbeya City uko baadae.