“Tulikubaliana Mechi za Simba na Yanga waamuzi watoke nje, lakini wamerudia yale yale”__ Murtaza Mangungu akizungumza baada ya Simba kupoteza dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa ngao ya Jamii✍️
Tupe maoni yako, unadhani ipo haja ya Waamuzi wa Dabi kutoka nje ya nchi au kulikuwa na tatizo la Mwamuzi?
#KitengeSports