@thomasjkibwana Niliwahi kumuona mfanyabiashara mashuhuri mwenye asili ya Kiasia hapa nchini (ambae hana wadhifa wowote govt, na hajawahi kuwa mbunge) amepost akiwa na Diplomatic passport mtandaoni, je yeye atakua amepewa kwa mamlaka ipi hapo juu?
@Rahim_Meghji Maalimu, Bandari tu ya Dar ya biashara bado ufanisi hautoshi, hadi leo ina Gati chache, meli zikakaa foleni, capacitywise tuko more or less nusu ya Mombasa, tutaweza hizi bandari za boti za Leisure?
@Makaveli_255 Jamaa ni msemaji wa kamandi kuu, inaunganisha Jeshi la kawaida na IRGC, zile kamandi 31 kuwa na mamlaka zake ni kwa ajili ya kipindi hiki cha vita, ila huyu ndo msemaji wa joint command (ndomana hatujawahi kuona hizo command nyingine wanatoa press release zao randomly)
@Mackincheese23@BillyTronix1 Kwa airstrike uko sahihi, ila kwa Rocket Launchers kama HIMARS wanashambulia kutokea Arabia, UAE na Bahrain (kama shambulio la kisiwa cha Kharg juzi walitumia HIMARS zilizo UAE au Saudia), pia wanatumia rada na base zilizo kwenye hizo nchi kufanya reconnaisance