@JrMwakinyo Nakumbukeni kwa sana @JrMwakinyo anapangiwa na anataja kiasi anacho taka ndio maana ngumi za kulipwa hapa bado mapromota wanaweka crown, Lenk ya @JrMwakinyo sio hiyo Ana thamani ya Dunia juzi ameonekana kwenye GYM akiwa na bingwa wa Dunia, let's go Champ
@JrMwakinyo Na kama mnataka @JrMwakinyo ombeni pambano nje sababu sio mtaani tumeni application wanapo mtambua acheni Ngumi za mtaani, nchi kama Ukraine Ina mabondia wengi sana ila wanataka heshima ya nchi yao mataji awasubili yaliyo chumwa na wenzao wanayatafuta Duniani kote,
@JrMwakinyo Nafikiria watu wengi awajui ngumi na ndio maana Kuna watu wanasema eti anawapiga wazungu tu, sasa mtafutieni bondia went Hao wazungu leo itokee @JrMwakinyo anapigana na bondia wenu kumbukeni Dunia aitajua maana litakuwa sio la kimataifa ataonekana anapigana kwenye tamasha tu,