🤑WIKIENDI IMEWADIA NA MTONYO WA JACKPOT UPO MEZANI!!
💰 Milioni 896,686,220/= zinaweza kuwa zako wikiendi hii
📱 Bashiri mechi 13 za #SportPesaJackpot kwa usahihi ushinde MAMILIONI kwa Buku 2 tu na ukipatia mechi 10, 11 au 12 kuna BONUS za kibabe
#SportPesaUshindiUlipo
Sasa kwa ajili ya kufanya Revision kabla ya kurudi shule unaweza mpatia mwanao mwalimu binafsi mpaka nyumbani..
Hii ni nzuri zaidi hasa kwa wale wanafunzi wanao kabiliwa na mitihani ya Taifa kwa mwaka huu
Maelezo ya Ada ni kama elekezi hapo chini (picha)👇🏿
Karibuni💪🏿💪🏿
Jezi maalum kwa wadada zinapatikana.
Fika sasa kwenye maduka ya Vunja Bei kununua kwa bei ya reja reja au Sandaland The Only One Kariakoo kwa bei ya jumla. #NguvuMoja
🆕👕 Uzi mpya wa mabingwa wa nchi umetoka🤩
Ni jezi ambazo zitatumika kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho (ASFC) na Kombe la Mapinduzi. Jezi inapatikana kwenye maduka ya Vunja Bei. #NguvuMoja
"Nimekuja na jambo kubwa huku Zanzibar, jambo hilo ni uzinduzi wa jezi mpya ambazo tutazitumia kwenye michuano ya Kombe la FA na Kombe la Mapinduzi."- Ahmed Ally. #NguvuMoja
"Kwasasa tuna jukumu kubwa la kuchangia ujenzi wa uwanja wetu, ni jukumu letu Wanasimba wote. Wapo watu wanataka kutukatisha tamaa lazima sisi hatutakata tamaa. Rais wa heshima na mwekezaji, @moodewji ameshaahidi kutoa Bilioni 2 na sisi tuunge mkono."- Ahmed Ally. #NguvuMoja
"Wanasimba karibuni Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup. Tukutane Amaani Stadium siku ya Jumatano kwenye mchezo wa kwanza wa kwanza."- Ahmed Ally. #NguvuMoja
"Wanasimba msiwe na wasiwasi, timu yetu ipo vizuri, kufika kileleni jambo la muda na tukifika hatutoki hadi tunachukua ubingwa."- Ahmed Ally. #NguvuMoja
"Nimefurahi sana kujiunga na Simba. Ni ndoto ya kila mtu kufanya kazi na taasisi kubwa kama Simba. Ni furaha kujiunga na taasisi yenye mafanikio makubwa."- Ahmed Ally. #NguvuMoja