ORODHA YA TIMU ZENYE MATAJI MENGI YA EPL
1. LIVERPOOL - Mataji 20
2. MAN UNITED - Mataji 20
3. ARSENAL -Mataji 13
4. MAN CITY -Mataji 10
5. EVERTON -Mataji 9
6. ASTON VILLA -Mataji 7
7. SUNDERLAND -Mataji 6
8. CHELSEA -Mataji 6
9. NEWCASTLE -Mataji 4
10. SHEFFIELD WED -Mataji 4
🚨 KIUNGO mahiri wa Serengeti Boys na mchezaji bora AFCON U-17, Issah Chole ameingia katika rada za miamba ya Ufaransa, Olympique de Marseille ikitajwa kuwa miongoni mwa klabu zinazomfuatilia kwa karibu.
Taarifa kutoka Morocco ambako mashindano hayo yalifanyika zinaeleza kuwa Marseille imekuwa ikifuatilia maendeleo ya Chole tangu hatua za makundi. Uwezo wake wa kutawala eneo la kiungo, kutengeneza nafasi na kucheza kwa utulivu licha ya umri wake mdogo, umevutia maskauti wa klabu hiyo maarufu ya Ligue 1.
Mbali na Marseille, mabingwa wa Czech, SK Slavia Prague, nao wameonyesha nia ya kumchukua nyota huyo. Taarifa zinaeleza klabu hiyo tayari imewasilisha ofa inayokadiriwa kufikia Dola 190,000 ambazo ni zaidi ya Sh 500 milioni.
🇳🇱🤯 Wesley Sneijder had an INSANE run in 2010…
🏆 Serie A
🏆 Coppa Italia
🏆 Supercoppa Italiana
🏆 UEFA Champions League
🏆 FIFA Club World Cup
🥈 FIFA World Cup runner up
Happy birthday to him! ❤️
🚨🇦🇷 𝗖𝗥𝗔𝗭𝗬 𝗦𝗧𝗔��: Lionel Scaloni can become the first manager in history to win 5 major International trophies in a row!
🏆 2021 Copa America
🏆 2022 Finalissima
🏆 2022 World Cup
🏆 2024 Copa America
❔ 2026 World Cup
Kwa mujibu wa taarifa kutoka FIFA, inasema kuwa Mwamuzi wa Somalia, Omar Artan ameondolewa kuchezesha kwenye kombe la Dunia baada ya kuzuiwa kuingia Marekani.
Msemaji wa FIFA alithibitisha katika taarifa yake kwamba Artan, ambaye alikataliwa kuingia Marekani baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Miami, hatashiriki Kombe la Dunia.
“FIFA inaweza kuthibitisha kwamba afisa wa mechi Omar Abdulkadir Artan hataweza kufanya mazoezi na kuhudumu katika kombe la Dunia la FIFA 2026 baada ya kunyimwa visa ya kuingia Marekani,”.
FIFA ilisisitiza kuwa haina uwezo wa kubadilisha uamuzi ambao ilisema ulichukuliwa na waandaji wenza wa michuano hiyo Marekani.
Haijabainika kwa nini Artan alikataliwa kuingia Marekani lakini Somalia ni mojawapo ya nchi kadhaa kwenye orodha ya nchi zilizopigwa marufuku ya kusafiri iliyoanzishwa na utawala wa Rais Donald Trump.
Mshauri wa Serikali mjini Mogadishu alisema kwamba Artan ambaye angekuwa Msomali wa kwanza kuwa Mwamuzi katika fainali za kombe la Dunia alikuwa na visa halali ya kuingia Marekani.
#KitengeSports
Michael Olise amefunga magoli matatu 'hat-trick' wakati timu ya Taifa ya Ufaransa ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Ireland ya Kaskazini kwenye mchezo wa kirafiki katika dimba la Decathlon Arena, Lille.
FT: France 3-1 Northern Ireland
⚽ 43' Olise
⚽ 49' Olise
⚽ 75' Olise
⚽ 64' Kelly
#KitengeSports
Mshambuliaji wa Ubelgiji, Divock Origi, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 31, akihitimisha safari yake ya mafanikio iliyodumu kwa zaidi ya muongo mmoja katika ngazi ya juu.
Origi anakumbukwa zaidi kwa kipindi chake katika timu ya Liverpool FC, ambako alifunga mabao 41 katika mechi 175 na kuwa mmoja wa Wachezaji waliopendwa na Mashabiki kutokana na mchango wake katika nyakati muhimu. Akiwa Anfield, alishinda mataji ya Ligi kuu ya England, UEFA Champions League na Kombe la FA.
Mbali na Liverpool, mshambuliaji huyo aliwahi kuzichezea klabu za LOSC Lille, VfL Wolfsburg, AC Milan na Nottingham Forest FC.
Katika timu ya taifa ya Ubelgiji, Origi alicheza mechi 32 na kufunga mabao matatu, huku akiiwakilisha nchi yake katika mashindano makubwa ya kimataifa.
Kupitia ujumbe wa hisia aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Origi alisema ametimiza ndoto zake za utotoni na kuwashukuru Mashabiki, Makocha na Wachezaji wenzake kwa sapoti waliompa katika kipindi chote cha kazi yake ya soka.
#KitengeSports
Mmoja mwa Waamuzi wa mechi anayeheshimika zaidi barani Afrika, Omar Abdulkadir Artan, ameripotiwa kukataliwa kuingia Marekani baada ya kuwasili nchini kwa Kombe la Dunia la FIFA la 2026.
Kulingana na ripoti za awali, Mwamuzi huyo mwenye sifa ya juu zaidi alikataliwa na Mamlaka za Marekani kuwasili na baadae kurudishwa Uturuki.
Hakuna sababu rasmi iliyotolewa kwa uamuzi huo, na kuwaacha wengi ndani ya jamii ya soka wakisubiri ufafanuzi zaidi.
Artan, ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa Waamuzi wakubwa Afrika, amechezesha mechi kadhaa za hadhi ya juu kote barani Afrika na nje ya bara.
Kujumuishwa kwake miongoni mwa maafisa wanaotarajiwa kushiriki Kombe la Dunia la FIFA 2026 kulionekana kuwa hatua nyingine muhimu kwa Mwamuzi wa Kiafrika kutoka Somalia.
Si FIFA au Mamlaka ya Uhamiaji ya Marekani ambayo imetoa taarifa ya kina kuhusu tukio hilo.
Pia bado haijulikani ikiwa hali hiyo inahusiana na hati, mahitaji ya usafiri, taratibu za usimamizi au mambo mengine.
#KitengeSports
Winga wa Simba SC, Mohammed Bajaber amehusika kwenye mabao matatu akifunga mawili na kutoa asisti moja wakati Harambee Stars ya Kenya ikiibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Lesotho kwenye mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA.
FT: Kenya 🇰🇪 4-0 🇱🇸 Lesotho
⚽ 08' Bajaber (🅰️ 0biero)
⚽ 52' Bajaber (🅰️ 0dhiambo)
⚽ 84' Ouma (🅰️ Agina)
⚽ 88' Ouma (🅰️ Bajaber)
#KitengeSports
Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez ameripotiwa kushinda uchaguzi wa Urais wa klabu hiyo dhidi ya mpinzani wake Enrique Requelme akipata kura asilimia 64.1 kwenye uchaguzi wa nafasi hiyo uliofanyika leo Juni 7, 2026.
Ulikuwa uchaguzi wa kwanza uliohusisha zaidi ya Mgombea mmoja klabuni hapo tangu mwaka 2006 huku Perez akiendelea kutetea kiti cha Urais wa klabu hiyo mpaka mwaka 2030 huku shauku ya wafuasi wa klabu hiyo ikigeukia kwenye ahadi alizotoa wakati wa kampeni zake.
Rais huyo aliyeiongoza klabu hiyo kubeba jumla ya makombe 37 yakiwemo mataji 7 Ligi ya Mabingwa Ulaya aliahidi kusajili ghali wa Pauni Milioni 150 bila kutaja jina lake ambaye ataungana na kocha Jose Mourinho anayetarajiwa rasmi kuanzia sambamba na mabeki Ibrahima Konaté na Denzel Dumfries
#KitengeSports
Watu tisa wamejeruhiwa kwa risasi katika tukio lililotokea karibu na Swope mjini Kansas City, Missouri, eneo ambalo ni kambi ya timu ya taifa ya England kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2026.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, shambulio hilo lilitokea karibu na kituo hicho cha michezo, huku majeruhi wakipelekwa hospitalini kwa matibabu. Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo, lakini hadi sasa hakuna mshukiwa aliyekamatwa wala sababu ya shambulio hilo kubainishwa.
Tukio hilo limetokea wakati maandalizi ya Kombe la Dunia la 2026 yakiendelea nchini Marekani, huku usalama wa maeneo yatakayotumika na timu mbalimbali ukipewa kipaumbele.
Timu ya taifa ya England, maarufu kama Three Lions, haikuathiriwa na tukio hilo kwani kwa sasa ipo Florida kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Costa Rica itakayochezwa Juni 10.
Baada ya mchezo huo, England inatarajiwa kuelekea Kansas City na kuweka makazi yake Swope kwa ajili ya kampeni yake ya kombe la Dunia la 2026. Mamlaka za eneo hilo zimeendelea kufuatilia hali ya usalama huku uchunguzi ukiendelea.
#KitengeUpdates
Mechi ya kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Denmark dhidi ya Ukraine imeshindwa kuendelea baada ya kiungo wa Denmark, Christian Eriksen kuanguka uwanjani na kupoteza fahamu huku akiwa ameshikilia kifua hali iliyopelekea wasiwasi mkubwa miongoni mwa wachezaji na mashabiki.
Mchezo huo ulisitishwa mnamo dakika ya 65 wakati Denmark ikiwa mbele 2-1 ambapo tukio hilo limefananishwa na tukio la Juni 2021 kwenye mechi ya ufunguzi wa Euro 2020 ambapo pia alianguka na kupata mshtuko wa moto ingawa tukio la leo ni tofauti kwani baada ya dakika tano nyota huyo alipata fahamu na kwenda mwenyewe kwenye gari la wagonjwa (ambulance)
Hata hivyo Shirikisho la Soka Denmark limethibitisha kuwa nyota wa klabu ya Wolfsburg anaendelea vizuri na kueleza kwamba kiungo huyo wa zamani wa Manchester United atafanyiwa uchunguzi zaidi ili kubaini chanzo cha tatizo hilo.
#KitengeSports
🚨 EXCLUSIVE 🗞️
AL AHLY - HEAD COACH
Al Ahly have agreed terms with Hussein Ammouta 🇲🇦 on a 2-year deal ($210k/mo), including a 3-month salary payout termination clause.
The club also has a prior 2-year agreement with Bruno Lage 🇵🇹 worth $350k/month.
⏳ Decision time 🦅
🚨 UPDATE 🗞️
AFC Leopards and Kenya Police are battling to sign Elvis Rupia, who has mutually parted ways with Singida Black Stars 🇹🇿
Leopards have already tabled an official bid, which is currently under review, while Kenya Police are expected to submit their offer shortly.
🚨UPDATE 🗞️
Kenyan side Shabana FC 🇰🇪 has parted ways with attacking midfielder Pape Doudou Diallo 🇸🇳 following the expiration of his loan spell.
Next Step: Returning to Azam FC 🇹🇿 to discuss his future.
His contract with the Ice Cream Makers runs until June 2027. 📝
🚨 UPDATE 🗞️
❌ Young Africans 🇹🇿 will not release their players for the Zanzibar national team's friendly against Uganda on June 11.
The club's hierarchy is fully shifting all focus toward defending their NBC Premier League title and the CRDB Cup
🔴 Strictly Business⏳
🚨 EXCLUSIVE 🗞️
Yanga Sc 🇹🇿 are on the verge of signing striker Yves Koutiama 🇧🇫 from Kenya Police 🇰🇪
A 2-year contract is on the table and personal terms are not an issue. He scooped the Best Foreign Player award after netting 10 goals since joining in the mid-season window.
🚨 EXCLUSIVE 🗞️
Singida Black Stars 🇹🇿 are pushing to sign striker Mathew Tegisi Momanyi, who is set to leave Pamba Jiji FC over unpaid dues.
A Tanzanian giant is also lurking with interest, while Kenyan clubs 🇰🇪 keep close tabs on his situation.
👀 Race is on... ⏳
🚨 'SCREEN PROTECTOR' IS BACK!
Young Africans goalkeeper Djigui Diarra has returned to club training after international duty with Mali 🇲🇱
The mission continues: Retaining the NBC Premier League title and chasing the CRDB Bank Federation Cup! 🏆
Back to business! 🧤
🚨 UPDATE 🗞️
Tanzanian youngster 🇹🇿 Barka Seif Mpanda has joined FC Barcelona's academy (La Masia) 🇪🇸 from CF Damm.
What A move 🙌 🔥🇹🇿
✅ Our own Lamine Yamal 🔒
🚨 UPDATE 🗞️
South African side Sekhukhune United 🇿🇦 have reached an agreement to appoint Cedric Kaze 🇧🇮 as their new Head Coach ahead of next season.
Kaze has signed a one-year contract with an option to extend.
⏳ Official Announcement: 🔜