Inasikitisha ninapoona watoto wakiishi maisha ya kuombaomba hivi, wapendwa hebu tuguswe na tuumie sote kwa kuhakikisha wanapata Haki zao .
#ZuiaUkatiliKwaWatoto#Buchosa@TIPOfficial__
Zoezi la upimaji VVU katika wilaya zote ambazo TIP imefanya kazi lilijumuisha kazi za kuweka vifaa katika vituo vya upimaji vilivyoko kwenye nyumba za ibada na safari za visiwani ambako huduma nyingi za afya hazifikiki.
Ubakaji na ulawiti kwa watoto, mbona vinaepukika! Tuchukue hatua kuwalinda kwa ushirikiano mkubwa huku tukizingatia usemi usemao "Mtoto wa mwenzio na wewe ni wako"
#ZuiaUkatiliKwaWatoto#Buchosa@TIPOfficial__
Vijana wenzangu mikono juu - ποΈποΈποΈποΈ Naamini vijana tuna nguvu za kulipambania Taifa πΉπΏ na kuhakikisha @watanzania wote wanatambua afya zao kwa kupima HIV na kutokomeza ndoa za utotoni, Vijana Woooote tuseme!! π
#RafikiKapimeHIV#ZuiaUkatiliKwaWatoto@TIPOfficial__