Hii ni dharau kubwa sana aliyoifanya Heche kwa mamlaka,hiki kibali cha kufanya huu mkutano amekipata wapi,sababu ninachojua kuna zuio ka mikutano ya kisiasa lakini kwa utovu mkubwa wa nidhamu leo @HecheJohn ameamua kukaidi,halafu watu hawa wakichukuliwa hatua za kisheria wanasema wanaonewa je hiki alichofanya ni sahihi?
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kutekeleza majukumu yake ya kiuongozi kwa kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Zanzibar.
Hapa kwetu wakichapwa tu viboko, utasikia tunaenda kushtaki ICC,wenzenu huko wamehamasisha tu maandamano, wamenyongwa live,tunawaambia hakuna nchi inayoweza kuruhusu demokrasia ya vyama vingi itumiwe na mtu yeyote, awe ndani au nje ya nchi kupenyeza ajenda kwa lengo la kugawa wananchi wake, halafu serikali ikae kimya ni lazima serikali itakua macho na itachukua hatua kali za kisheria na kinidhamu dhidi ya wahalifu kama hawa.
📸 𝐏𝐈𝐂𝐇𝐀: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar,Leo Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
Kikao hicho kilijadili masuala muhimu ya Chama na Taifa, pamoja na kuimarisha utekelezaji wa maamuzi na Ilani ya CCM kwa maendeleo ya wananchi.
Tembelea: https://t.co/XFsl2Qg9M9
_________
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#CCMIpoKazini
Kwa mtindo huu, upinzani bado una safari ndefu,CCM wako kwenye vikao vya kujiimarisha, CHADEMA mko busy kufuatilia na kusambaza taarifa za uongo za kikao chao,badala ya kujenga chama chako na kuimarisha mikakati, mnatumia muda mwingi kufuatilia shughuli za CCM,mwisho wa siku tukienda kwenye uchaguzi mnadai mmeibiwa kura, ilhali kipindi cha kujiandaa mko busy kushughulikia ajenda zisizowahusu,yaani Maria Sarungi kawaharibu sasa jana alikua busy kutengeneza uzushi huu na ndio maana hakuwa online leo kawatupia na mmejaa😄
(✍🏼 na mwandishi wetu wa Mwanakwerekwe)
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika mapema leo mjini Zanzibar.
Mara baada ya kikao cha kamati kuu kitafuata kikao kizito sana cha NEC mchana wa leo na kujadili ,kuamua na kupitisha mambo mazito sana!..
#KigogoMediaUpdates
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar, Leo Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
Kikao hicho kilijadili masuala muhimu ya Chama na Taifa, pamoja na kuimarisha utekelezaji wa maamuzi na Ilani ya CCM kwa maendeleo ya wananchi.
Kumbe heche hata baba yake mzazi alishamkataa mda mrefu na ndio maana ni kama amewehuka hasikii la mkuu anataka kujimikisha chama,mtu mwenye akili timamu ama kiongozi anaetambua miiko yake hawezi kupuuzia maamuzi ya viongozi wenzake ambao wanahoji uhalali wa yeye kutafuna fedha za michango,haya mambo anayoyafanya hata wenye chama chao Edwin Mtei hawajawahi kuyatenda nahisi Mbowe anatakua anajuta sana kusaidia vijana kama hawa kuingia CHADEMA,wewe ni mtu gani ujione bora kuliko wenzako.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Semina Elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusu Umuhimu wa Mawasiliano Serikalini, tarehe 28 Julai, 2026, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar.
Kwani miguu ndiyo ilimtuma aongee huu upupu? Huyu hata angekuwa kiwete anashughulikia na sheria kama watu wengine.. Kwani anaongee kwa kutumia miguu au mdomo?
Kuwa na machuma miguuni siyo excuse ya kuwa reckless na kuongea upumbavu wa hivi akidhani ataachwa kwa kuwa miguu yake ina vyuma..
Kama alifikiri ataleta wendawazimu wake na ataachwa basi alikosea sana na atulie tu aendelee kutoa shule ya sheria au?
HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA..
Huyu si wakili? unafikiri kipindi anazungumza haya maneno hakujua kitakachofuata? alijua na alikuwa akifanya hivyo kwa makusudi,akihisi kwamba mipango yake ya kuipindua serikali kwa kushirikiana na hao waliomtuma kutoka mataifa ya nje ingefanikiwa,lakini kwa sababu serikali yetu iko makini, ilifanikiwa kudhibiti njama zote,sasa aache avune alichokipanda.
Kwa mara ya kwanza katika historia, Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika tarehe 5–6 Agosti 2026, jijini Dar es Salaam,mafanikio haya yanadhihirisha imani kubwa ya kimataifa kwa Tanzania kutokana na amani, utulivu na mazingira bora ya uwekezaji yaliyoimarishwa chini ya uongozi wa Rais Dkt Samia Mkutano huu utatoa fursa ya kutangaza miradi ya kimkakati na kuvutia wawekezaji kutoka duniani kote.
Mambo yatakayoenda kujadiliwa;
✅ Nishati safi (Clean Energy)
✅ Miundombinu ya kidijitali na mawasiliano
✅ Usafiri na uchukuzi
✅ Uunganishaji wa kikanda (barabara, reli, bandari na njia za biashara)
Hii ni historia nyingine ambayo Rais Samia kaindikia Tanzania kwa kuendelea kuwa kitovu cha biashara na uwekezaji barani Afrika.
Mmeanza tena ujinga wenu baada ya kuona mambo ni magumu,Lissu alikamatwa kwa mujibu wa sheria na hajashtakiwa au kushikiliwa kiholela,anashikiliwa kwa mujibu na taratibu za kisheria kutokana na makosa aliyoyatenda kama ilivyo kwa mtuhumiwa mwingine yeyote, suala la hatia au kutokuwa na hatia litaamuliwa na mahakama baada ya kusikiliza ushahidi.
Aidha mnapaswa kutambua kanuni ya mgawanyo wa madaraka na uhuru wa mhimili wa mahakama, Serikali haiwezi kuingilia mwenendo wa kesi au kuamuru mtu aachiwe au aendelee kushikiliwa. Uamuzi wa kutoka au kubaki gerezani ni wa mahakama pekee,Lissu apambane na kesi yake akishinda ataachiwa asiposhinda anafia jela.
KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA WANAHARAKATI NA WATUKANA MATUSI NA WAHUNI.📌
NINA mashaka makubwa sana kama tunaelewa tofauti iliyopo kati ya wanaharakati na watukana matusi au wahuni wanaotukana matusi viongozi na serikali.
NINA mashaka makubwa zaidi kama Tanzania tuna tafsiri yetu peke yetu ya nini maana ya harakati na nini maana ya uhuni,panya road, vurugu na matusi.
KUNA mkanganyiko mkubwa sana kati ya haya mambo mawili. Tanzania imekuwa kawaida mtu yoyote mwenye matusi ya nguoni anayoyaelekeza kwa viongozi au serikali basi huyo ni mwanaharakati. Tanzania imekuwa mtu anayechochea uhalifu na vurugu za watu kuchoma moto ofisi za umma,kuuwa viongozi,kuuwa polisi,kuchoma moto magari ya serikali ,kuchoma moto vituo vya mafuta ,kuchoma moto vituo vya mabasi ya mwendokasi HUYU anaitwa MWANAHARAKATI..
TUMEFIKA hapa kwa kuwa tumekuwa wavivu wa kujua nini maana ya harakati na kwa nini harakati zilikuwepo na zipo. Na pengine tumefika hapa kwa sababu kuna watu wamekuwa wavivu tu wa kulima na hawana kazi ya kufanya wakajivika uanaharakati kama kazi ya kujikimu kimaisha ndiyo maana ili waonekane wanaharakati basi lazima waitusi serikali na kutukama viongozi na mtu yoyote anayekuja mbele yao.
NDIYO maana huwezi kuona wanatukana viongozi wa upinzani kwa kuwa ukifanya hivyo siyo mwanaharakati. Huwezi kuona wanaongelea uozo wa viongozi wa upinzani kwa kuwa hizo siyo harakati. Huwezi kuona wanahoji mambo ya hovyo ya viongozi wa upinzani kwa kuwa hizo siyo harakati.. Ndiyo maana huwezi kuona wanahoji kauli za uchochezi za viongozi wa upinzani kwa kuwa kwao hizo siyo harakati LAKINI haya yote wakifanya dhidi ya serikali na viongozi wa serikali basi hizo ni harakati.
TUMEPOTOKA sana kama taifa ! Mtu aliyechochea vurugu za 29 Oktoba 2025 na upelekea machafuko na vurugu zilizopoteza maisha ya watanzania anakuwaje mwanaharakati? Yaani mtu ambaye maisha yake yote yuko kwa ajili ya ku "blackmail" nchi na kutaka ikose misaada ,itengwe na mataifa mengine,inyimwe hata mikopo ya maendeleo anakuwaje mwanaharakati?
MFANO mwepesi wa karibuni ni Maria juzi juzi amemuimba waziri wa nchi fulani kuikatia misaada Tanzania.. Na akajibiwa hilo haliwezekani kwa sasa. SASA mtu wa hivi anakuwaje mwanaharakati ? Yaani mtu ambaye kila siku akiamka anawaza ni kitu gani atafanya kuichafua Tanzania au nchi iliyompta passport wakati siyo raia wa Tanzania. Huyu anaitwaje mwanaharakati? Au mtu wa hivi anakuwaje sehemu ya kuongelea mambo ya Tanzania? Mtu wa hivi ni adui hatari sana kwa Tanzania na hawezi kuwa na msaada kwa taifa hili kwenye lolote.
MTU KAMA Maria na wengine wengi wanaojiita wanaharakati ni watu waliohusika kwenye kuchochea vurugu na machafuko ya 29 Oktoba 2025 na tamko la Commonwealth limeagiza mamlaka za Tanzania kuchunguza perpatrators wote waliohusika na machafuko yake na kwenye kikundi hiki hawa wote wanaijiita wanaharakati wanahusika na lazima muda ukifika watashughulikiwa tu hata wajifiche huko Budapest na kwingineko!
SASA mtu wa hivi anakuwaje mwanaharakati na anakuwaje mtu wa maana kusema anaweza kukaa na kuongea mambo ya maana kuhusu Tanzania? Haiwezekani kabisa na haitakuwa na maana kama nchi tunashindwa kusema wazi wazi kuwa watu hawa ni washenzi na hawafai kuwa sehemu ya jamii ya watanzania.
HAWA wameamua kuwa sehemu ya wazungu na maisha yao yote wameamua kutumikia wazungu kwa ajili ya kuichafua Tanzania na kuiharibu taswira ya Tanzania. Sasa wanakuwaje watu wa maana mbele ya macho yetu?Watu hawa si ndiyo wanawaambia watalii wasije Tanzania au?
LINAPOKUJA suala la kuitetea Tanzania na kuhakikisha haitayumbishwa na mambo ya hivi tutasimama imara sana kwa kuwa hatutakubali hata dakika moja watu wadhanie ni sahihi kutumia majukwaa ya harakati kuharibu hii nchi au kuona wahuni na wachochea vurugu ni wanaharakati na watu wa maana sana kwenye nchimi.
TANZANIA haina wanaharakati kwa sasa BALI ina wahuni na watukana matusi.
( Nimewaweke rejea ya video za wahanarakati wakiwa kwenye harakati zao siku ya 29 Oktoba 2025)
#KigogoMediaUpdates
Huyu jamaa anachekesha kweli ya mtu ambaye anahamasisha vijana tena wanafunzi wake waandamane ilinwafanye mapinduzi ya nchi ili kuondoa serikali halali madarakani unamtetea? Mhadhiri ambaye kaajiriwa na Serikali hii inayomfanya familia yake ipate chochote kitu kila mwezi anaisema ni ya hovyo halafu aachwe sio?