Back in 2023 Nishai enda gym ya ghetto pale Sunton Kasarani, trainer day one akanipata hapo ananiambia "nipee zangu Kumi" weight sijui ilikuwa 40kgs, bro sikuwai rudi tena hadi viatu niliacha huko.
Nimeona some old bitter woman telling men wanaishi one bedroom wasipeane mimba, wakijua kuna morio Anaishi single room na ni baby daddy wa wamama watano si atafaint akufe😂
hawa vijana walikuwa abducted wanadhani watapewa kura juu ya hiyo. manifesto yao ni "i was abducted"
kijana tafuta kazi ingine mapema kabda uonyeshwe dust hapo 2027