Chadema wana haki ya kikatiba ya kuitisha na kufanya maandamano.
I hope Chadema hamtotishika na vitisho vya wauwaji mkaacha kuunga mkono maandamano ya July 7. Haya maandmano yanahitaji kiongozi.
CCM maandamano ya kudai haki kwao ni vurugu ila kutoa haki hawataki. CCM ndio chanzo cha matatizo yote Tanzania
JESHI LA POLISI LIMEVAMIA NYUMBANI KWA MBYELLA (ANAYEUZA NGUO NA VIFAA VYA CHADEMA NA KUONDOKA NA TSHIRT, KOFIA, NGUO NA BENDERA ZA CHADEMA.
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella mwenyewe hakuwepo nyumbani so Polisi walifanya upekuzi na baada ya kumkosa waliondoka kwa muda.
Baadaye walirejea wakiwa na Gari aina ya Fuso kisha wakabeba nguo zote na vifaa vyenye nembo ya chadema ikiwemo Bendera za Chadema ambazo huwa anauza kisha wakaondoka na mali hizo bila kutoa sababu zaidi.
Kwa mujibu wa mke wa Mbyella (anayeuza nguo na vifaa vya chama) nyumbani kwao kuna duka la kuuza vifaa hivyo ambavyo Polisi wameondoka navyo vyote.
Tunafuatilia kufahamu sababu hasa ya kuvamia nyumbani hapo na kuleta taharuki kwa mtu ambaye hata kama wangemhitaji Polisi, wangempatia wito na angefika kituoni kama Polisi walikuwa na jambo na Mbyella.
Kuuza vifaa vya chama kama nguo, kofia, Bendera siyo kosa kisheria.
REPOST 200
Mashabiki wameinuka, uwanja umelipuka! Arsenal anachapwa goal la tatu hapa mpira umeongea lugha yake! Raya ameangalia tu kama abiria wa dirishani Ooh my God 💦
Unaamua kumtongoza dem mwenye miaka 30+ ambaye ni kama unamfanyia favor.
Kwa umri huo inatakiwa hata akupigie magoti kwa sababu ni kama umemuokoa
Halafu katika mazungumzo anaanza kujisifia jinsi alivyowahi kudate na wanaume maarufu na wenye pesa.
Kuna Malaya hawabebeki asee.🚮
Huko Congo mgonjwa wa Ebola amefariki madaktari wakawazuia ndugu kuaga mwili kwasababu za kiusalama, ndugu wakakasirika wakachoma kambi yote ya wagonjwa wa Ebola wagonjwa wakakimbia kujiokoa na hawajulikani walipo mpaka sasa.
Afrika yetu…
Watanzania, Wauwaji wameaanza kampeni kubwa ya kuwasema Wamarekani ili wakae pembeni watuache Watanzania peke yetu ili wao waendelee kutupiga risasi na kututeka na Samia Suluhu aendelee kushikilia nchi illegally.
Sasa tusikubali, lazma na sisi wananchi tuanze kampeni kabambe ya kumuomba @POTUS atusaidie…. Watanzania Trump ndio nafasi yetu ya mwisho kupata haki bila kuendelea kupigwa risasi na CCM.
Wabunge haram na bosi wao wanajua Wamarekani na @realDonaldTrump wakichukua hatua kwenye issue ya October 29 basi haki itapatikana Tanzania, na haki ikipatikana Tanzania CCM hawana uhakika wa madaraka, hii ndio sababu wanapambana juu chini tusipate msaada wa nje. Sasa tusikubali.