Shida Ya Kudate Na Msichana Ambaye Ni Mpangaji Mwenzako Kila Baada Ya Sekunde 5 Anakuwa Anatokea Chumbani Kama Yale Matangazo Netflix Pale YouTube, Hata Huwezi Kula Side Chick Kwa Amani 😭
his father left when he was 12, now he has a YT channel called “Dad, how do I?�� to help kids who’re growing up without dads. teaching them basic tasks that you’d usually ask your dad for help on. this is the purest thing 😭
Wapwa hivi harmonize ile 600mil kuweka janja pembeni aliilipa yeye au sarah maana hesabu inakuja inakataa? Maana ukifikiria kwa viewers gan au listeners gani kabla hajatoka usafini
Keeping a child from they daddy ain’t hurting nobody but the child. And putting a man (who wants to help with the kid) on child support out of anger is sad.
Kwenye hii challenge ya 'drop photo of you at work' watu wengi wametuma picha zako wakiwa ofisn wamekaa kwenye staff chair , kompyuta kali n.k hii inaashiria kuwa mentality ya kupenda au kuona white collar job ndio kazi bado ipo kuanzia kipindi cha ukoloni hata mpaka sasa