@ManaenOchuodho@Bukayoshafi77 Hilo tatizo halijaanza leo hatujawahi kuw na world class attacker hii miak mitatu ilopita ila Arteta amemasta kushinda mechi ( best at winning the game require) ndo man ni rahisi kucheza na arsenal kwenye karatasi kuliko uwanjani..