@HashtagSD_@NjiwaFLow@salhynaphy1 Kuna Karume, Kariakoo, Shoppers, Mlimani city, unachagua mwenyewe pa kwenda hulazimishwi.
Hiyo google unayosema wako na 3a, 4a,5a nazo ni nini hizo?
@HashtagSD_@NjiwaFLow@salhynaphy1 Hao sijui wauze simu wakiwa uchi labda ntanunua, nimetumia samsung tangu S hadi leo S26 hawa nakufa nao, we endelea na hao google