@NoblyHD@NjiwaFLow@salhynaphy1 Okay shida Samsung nao wamekuja kua na mushkeli. kuna matoleo zaidi ya 30 ya Samsung ambayo pengine HUYAJUI , WANATOA TU KIHOLELA.
Unakuta mtu kashika li simu likubwa unahisi ITEL kumbe ni SAMSUNG A03 CORE na ina sauti kama subwoofer.
@Sincerelyrahma7 Hapana rahma, hamtiani , wenzio maumbile yetu yako nje , jinsia yako maumbile yenu yako ndani ya miili yenu hivo mnatiwaa.
Therefore kama wewe unawa kashifu wasio na hela, basi na wao acha waendelee kuwazuia wenzao WASILALE NA MASINGO MAZA.