@Maestrowafact Kufundishwa nidhamu na uzalendo kunahitajia wenye nidhamu sio kwenda kutuharibia vijana kuwafundisha matusi na uhuni mi nimegoma sister angu haendi haendi kudadadeki.
@RKishaija81715 Aya but dont wait to learn the hard way muombe Mungu aiondoe au akuepushe kuliko kukaa kimya kabisa duniani tupo kwenye uwanja wa mitihani ni lazima lkn bora mtihani utakao umudu sio ule ukakuzidia.
@ZPlanmaster Nilivofika pugu na miwani yangu nikawaambia hivo hawakunipanga kwenye usafi mpaka namaliza 6 kumbe ulikuwa uongo nikawaambia na vithibitisho vipo kwa makamu