@Nillan_23@ReganTesla_@TweveDevota Kuyahimili na kuyakubali sio kazi nyepesi, kupata Amani katikati ya depression sio kitu unachoweza bila Mungu, vitu vingi nilipitia hapo kati mpk mtu akanambia nimerogwa akanishauri niende kwa mganga, woii ๐to make it short I SAW GOD KIPINDI KILE AISEE
@Nillan_23@ReganTesla_@TweveDevota Nilirudi magotini, nilirudi kwenye mswala wangu, nikazidisha ibada za usiku kadri siku zilivyokus zinaenda maumivu yalikua yanapungua na kuhisi tu kwamba kila kitu kitakua sawa cz nishamwambia Mungu, sikuwa Naomba matatizo yaishe, nilikua Naomba ujasiri wa kuyahilimili mazito๐
@ReganTesla_@TweveDevota Nilikua nikilia sana nikiwa kwenye Sijda Nlikua nikikua mnoo nikiomba unafuu wa Yale niliyokua nikipitia, Finally I saw God through zile ibada, Wallah nilikua nimeshajikatia tamaa sana, but here I am๐ซ ๐ซ
@ReganTesla_@TweveDevota Nilikua nalia kwa sauti km nmefiwa ๐mida ya saa nne narudi kulala gheto ๐, skua na mtu wa kunijulia hali au kuhisi kwamb siko sawa , I had no shoulder to cry on, hapo ndio nikarudi kweny mswala wangu mfurulizo Tahajjud na mimi kila siku, nikajikuta nmekua karib sana na Mungu
@INFLUENCERjr@mkemi4mkUu Na Kwanini unifanye niwe housegirl wako Yn nitumie mpk ujuzi wa kumfanyia Mme wangu alafu nikufanyie ww yoote ya MKE MWEMA ๐alafu uniache ukaoe mwingine ๐broo mbona ntakua mchawi ๐Yn mtamalizana wenyew km Yule SAIDI NA SALHA wa mwanza๐Uโll never knw peace ๐
@INFLUENCERjr@mkemi4mkUu Kwa tutakacho wafanyia ๐ Yn tutaripotiwa kwa story za series kuanzia kwenye mainstream mpk kwenye blogs ๐ Tuko nje ya muda ๐๐
@INFLUENCERjr@mkemi4mkUu Uzuri agenda za kwenye vikao vyenu zinavuja na notice tunazo๐ na sisi tumeandaa mashambulizi ๐siwezi kuwa mfua nguo zako na kukupikia na kukufanyia usafi kwako alafu ukaifurahie ndoa yako na binti wa njombe ๐ tutakua headlines kwenye page y milladayo,Jamiiforum na zote
@INFLUENCERjr@mkemi4mkUu Alichokisema @mkemi4mkUu ni kweli ๐๐wakufua na kuosha vyombo ni kina Zuwena wa tabata, ikifika mda wa kuoa mnaenda zenu njombe kutafta wanaovaa UNDERSKIRT๐๐ tushawashtukia ๐