@Joesottes basi tuachane nayo kama hukugundua kwamba kuna meseji alijibiwa... "mfano naweza nikakwambia yeah siku yangu ilikuwa nzuri" out of blue hujauliza chchote!!?? hebu kaa kimya mzee utakuwa joined 2022 hizi mambo huzielewi
@Joesottes kwanza kama ulikuwa umeziona hzo screenshot hyo ni inbox ya mdada, na alikuwa anamjibu mwanaume, ila kama hata hilo hujaliona nadhani bora ukae tu kimya ๐๐
@GoodluckTemu_@chevi_masta mwanaume akifanya sex akachoka kabisa
akibadilishiwa mwanamke anakufa
ushawahi jiuliza kwa nn mwanaume akibakwa na wanawake zaidi y mmoja mara nyngi huwa wanakata moto!? hii ni kw sababu hata akichoka ila mwanamke akiingia mwingine mzigo unasimama, kumbuka kwa wanaume kuna limit